YAJUE MANUFAA YA MAKUBALIANO YALIYOSAINIWA KATI YA TANZANIA NA KOREA
Tanzania na Jamhuri ya Korea zimesaini Mkataba, Tamko na Hati za Makubaliano (MoUs) zenye manufaa makubwa kwa maendeleo ya kiuchumi kwa wananchi wa pande zote mbili.Hati hizo zimesainiwa Juni 02,2024 mbele ya Marais, Mhe. Samia Suluhu…