NCHI ZA UKANDA WA MAZIWA MAKUU KUKUTANA ANGOLA KUJADILI HALI YA AMANI NA USALAMA
Watendaji na Viongozi wa sekta mbalimbali kutoka Nchi wanachama wa Jumuiya ya Ukanda wa Maziwa Makuu (ICGLR) wanatarajiwa kukutana jijini Luanda, Angola kujadili kuhusu hali ya amani na usalama katika ukanda huo kwenye mkutano utakaofanyika…