NAIBU WAZIRI MKUU WA CHINA AWASILI NCHINI KWA ZIARA YA KIKAZI
Naibu Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Watu wa China na Mjumbe wa Kamati Kuu ya 20 ya Chama cha Kikomunisti cha China, Mhe. Liu Gozhong, amewasili nchini kwa ziara ya siku tatu (3) kuanzia tarehe 22 hadi 24 Januari 2024 na kupokelewa na Naibu…