Skip to main content

News and Events

Waziri Mkuu wa Ubelgiji Mjini Dodoma

Mhe. Dkt. Augustine Mahiga akiwa na mgeni wake Mhe. Didier Reynders, Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Mambo ya Nje wa Ubelgiji mara baada ya kuwasili Mjini Dodoma kwa mazungumzo na viongozi mbalimbali wa Serikali leo tarehe 6 Juni…

Waziri Mahiga Akutana na Waziri wa Korea

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Augistine Mahiga (kulia) akizungumza na Naibu Waziri wa Mipango na Uratibu kutoka Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Korea, Mhe. Balozi Paik Ji-ah. Mazungumzo yao yalijikita…

Sudan Kusini Mwanachama Rasmi EAC

Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli, Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki akisaini Mkataba wa Kuiwezesha Sudan Kusini kuwa Mwanachama Kamili wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), tukio hilo la…