Skip to main content

News and Events

Semina kuhusu Maendeleo ya Viwanda

Mhe. Kolimba na akijadiliana jambo na Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Dkt. Aziz Mlima wakati wa Ufunguzi wa Semina ya Kimataifa kati ya China na Afrika kuhusu ushirikiano wa kuendeleza…

Wizara yakutana na Vyombo vya Habari

Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano ya Serikali na Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Bi. Mindi Kasiga akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) Ambapo alizungumzia juu ya biashara haramu…

Waziri Mkuu wa Ubelgiji Mjini Dodoma

Mhe. Dkt. Augustine Mahiga akiwa na mgeni wake Mhe. Didier Reynders, Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Mambo ya Nje wa Ubelgiji mara baada ya kuwasili Mjini Dodoma kwa mazungumzo na viongozi mbalimbali wa Serikali leo tarehe 6 Juni…