BALOZI SOKOINE AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA CANADA NCHINI
BALOZI SOKONE AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA CANADA NCHINI Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Joseph Sokoine, leo terehe 1 Septemba 2021 amekutana na kufanya mazungumzo na Mhe. Pamela…