WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA CUBA AFANYA MAZUNGUMZO NA MHE. DKT. ASHATU KIJAJI
Waziri wa Uwekezaji, Biashara na Viwanda, Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji amekutana kwa mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Cuba, Mhe. Bruno Parrilla kwenye ofisi za Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) tarehe 30 Juni 2022 jijini Dar es…