News and Events
WAZIRI MULAMULA AWAAGA MABALOZI WA SWEDEN, FINALAND
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Liberata Mulamula ameagana na mabalozi wa Sweden na Finland nchini, Mhe. Anders Sjöberg na Mhe. Riita Swan baada ya kumaliza muda wao wa utumishi nchini Tanzania.Waziri…
TANZANIA NA CHINA ZAAHIDI KUIMARISHA USHIRIKIANO
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Jamhuri ya watu wa China zimeahidi kuendeleza ushirikiano wa kidiplomasia baina ya nchi hizo kwa kuzingatia misingi ya ushirikiano wa kirafiki kwa maslahi mapana ya mataifa yote mawili.Rai…
WAZIRI WA USAFIRISHAJI ZAMBIA AFANYA ZIARA BANDARI, TAZARA
Waziri wa Uchukuzi na Usafirishaji wa Jamhuri ya Zambia Mhe. Frank Tayali amefanya ziara ya kutembelea Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA), Kampuni binafsi ya Kimataifa ya Kuhudumia Makontena Tanzania (TICTS) pamoja na Mamlaka ya Reli…
RAIS SAMIA, HICHILEMA WAKUBALIANA KUBORESHA UHUSIANO
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Zambia, Mhe. Hakainde Hichilema wamekutana na kufanya mazungumzo kuhusu kufufua ushirikiano baina ya nchi hizo ambao ulikuwa umelegalega.Mazungumzo…
WAKUU WA NCHI ZA EAC WASISITIZA UMUHIMU WA SOKO LA PAMOJA KATIKA KUKUZA UCHUMI WA KIKANDA
Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) wamesisitiza umuhimu wa soko la pamoja katika kukuza uchumi wakati waliposhiriki Mkutano Maalum wa Ngazi ya Juu wa Soko la Pamoja la Jumuiya ya Afrika Mashariki.Mkutano huo maalum…
WAZIRI MULAMULA AONGOZA UJUMBE WA TANZANIA MKUTANO WA 24 WA KAMATI YA MAWAZIRI WA SADC
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Liberata Mulamula ameongoza ujumbe wa Tanzania katika Mkutano wa 24 wa Kawaida wa Kamati ya Mawaziri wa Asasi ya Ushirikiano katika masuala ya Siasa, Ulinzi na Usalama…
TANZANIA YATOA WITO KWA BARA LA AFRIKA KUIMARISHA AMANI NA USALAMA
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Liberata Mulamula (Mb) ametoa wito kwa nchi za Umoja wa Afrika (AU) kuendelea kuunga mkono juhudi mbalimbali zinazofanywa na umoja huo katika kutafuta suluhu ya…