DKT. TAX AWATAKA WATUMISHI KUCHAPA KAZI KWA BIDII NA KUSHIRIKIANA
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Stergomena Tax amewataka watumishi wa Wizara kuendelea kuchapa kazi kwa bidii, ufanisi na kushirikiana ili kufikia matarajio ya serikali na wananchi kwa ujumla.Dkt.…