WIZARA YA MAMBO YA NJE YATOA WITO KWA WADAU KUFUNGUA HUDUMA MAALUM KWA DIASPORA
Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imekutanisha wadau wa sekta ya umma na binafsi katika mkutano wa kujadili masuala ya diaspora na ushirikishwaji wao ili waweze kuchangia maendeleo ya Taifa kwa ufanisi…