Waziri afanya mazungumzo na Balozi wa Kuwait nchini Tanzania
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe.Balozi Dkt. Augustine Mahiga katika mazungumzo na Balozi wa Kuwait nchini Mhe.Jasem Ibrahim Al Najem Wizarani Jijini Dar es Salaam. Mazungumzo hayo yalijikita katika…