Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa amepokea kundi la kwanza la Watalii 336 kati ya 10,000 kutoka China
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa amepokea kundi la kwanza la Watalii 336 kati ya watalii 10,000 kutoka China watakaotembelea nchini mwaka huu 2019. Akizungumza wakati wa hafla ya chakula…