Mkutano wa 9 wa Tume ya Pamoja kati ya Tanzania na India Uliofanyika New Delhi ,India
Mkutano wa 9 wa Tume ya Pamoja ya Ushirikiano kati ya Tanzania na India Ngazi ya Mawaziri Uliofanyika mjini New Delhi, katika Mkutano huo uliotanguliwa na Mkutano wa Ngazi ya wataalamu wakiongozwa na Makatibu Wakuu Tarehe 15 na Tarehe…