Taarifa kwa Vyombo vya Habari kuhusu fursa za ufadhili wa masomo
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI FURSA ZA UFADHILI WA MAFUNZO Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imepokea fursa za ufadhili wa masomo ya muda mfupi kutoka Serikali ya Singapore kupitia Programu ya Ushirikiano ya…