WAANDISHI WAPIGWA MSASA KUHUSU MKUTANO WA NISHATI WA WAKUU WA NCHI ZA AFRIKA
Imeelezwa kuwa Tanzania haikuchaguliwa kwa bahati mbaya kuwa mwenyeji wa Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu Nishati, isipokuwa imekidhi vigezo ambavyo waandaji wamejiridhisha navyo.Hayo yameelezwa na Mkurugenzi wa Ushirikiano…
Waziri Kombo Aongoza Mkutano wa Mawaziri wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama SADC
Mkutano wa Mawaziri wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) umefanyika Zanzibar tarehe 04 Januari, 2025 chini ya uenyekiti wa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki,…
Balozi, Dkt. Samwel W. Shelukindo aongoza Mkutano Kamati ya Makatibu Wakuu wa Asasi ya Ulinzi na Usalama SADC
Kikao cha Kamati ya Kudumu ya Makatibu Wakuu wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama cha Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) ambaye Tanzania ni Mwenyekiti wa kamati hiyo kinafanyika Zanzibar Januari 04, 2025. Kikao hicho kimeitishwa…
Waziri Kombo ashiriki hafla ya ufunguzi wa Kituo cha Afya Kizimkazi Wilaya ya Kusini Unguja
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo amesema, dhamira njema ya Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan ya kuipa kipaumbele Sekta ya Afya nchini ni kuhakikisha wananchi wanapata huduma za uhakika…
DAYS LEFT
#Mission300#PoweringAfrica
NAIBU WAZIRI LONDO ATOA RAI KWA HALMASHAURI KUCHECHEMUA FURSA ZA BIASHARA MIPAKANI
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki anayeshughulikia masuala ya Afrika Mashariki, Mhe. Dennis Londo (Mb.) ameeleza kuwa Serikali imejipanga kuzisimamia na kuziwezesha Halmashauri hususan za mipakani kuwa…