FILAMU YA “THE ROYAL TOUR” ILIYOTAFSIRIWA KIJAPAN YAZINDULIWA JAPAN
Tanzania imetumia Maonesho ya Kimataifa ya Utalii ya Japan (Japan Tourism Expo) yanayofanyika nchini humo kuanzia tarehe 22 – 25 Septemba 2022 kuzindua filamu ya “The Royal Tour” iliyotafsiriwa kwa lugha ya Kijapan.Katika hotuba…