Matatizo Wanayoyapata Watanzania Wanaokwenda Kufanya Kazi Nje Ya Nchi
Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki inachukua fursa hii leo kupeleka taarifa kwa Umma kupitia vyombo vya habari juu ya tatizo hili ili kutoa uelewa na kupata ushirikiano kutoka kwa wananchi katika kukabiliana…