Waziri ahimiza umuhimu wa somo la Umoja wa Mataifa
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Augustine mahiga amependekeza ni vema somo la Umoja wa Mataifa likaingizwa katika mitaala ya masomo, ameeleza hayo alipokuwa akihutubia katika kilele cha Maadhimisho…