HABARI KATIKA PICHA MABALOZI WAKISAINI KITABU CHA MAOMBOLEZO KWA RAIS MSTAAFU MZEE MKAPA
Mabalozi mbalimbali wanaowakilisha nchi zao hapa nchini, wameendelea kujitokeza kusaini kitabu cha maombolezo nyumbani kwa Rais Mstaafu wa Tanzania Benjamin Mkapa na kumuelezea kuwa ni kiongozi mahiri na msuluhishi nguli wa amani barani…
MABALOZI ‘WAMLILIA’ RAIS MSTAAFU MZEE MKAPA
MABALOZI 'WAMLILIA' RAIS MSTAAFU MZEE MKAPA Baadhi ya mabalozi wanaowakilisha nchi zao hapa nchini, wamejitokeza kusaini kitabu cha maombolezo nyumbani kwa Rais Mstaafu wa Tanzania Benjamin Mkapa aliyeaga dunia Tarehe 24 Julai,…
MKUTANO WA DHARURA WA BARAZA LA MAWAZIRI WA SADC WAANZA DAR ES SALAAM
Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Brigedia Jenerali Wilbert Ibuge akifungua kikao cha Kamati ya Kudumu ya Maafisa waandamizi/ Makatibu Wakuu wa SADC kinachofanyika katika Ukumbi wa Mikutano…