WIZARA YA MAMBO YA NJE YAJIVUNIA KUIMARIKA KWA DIPLOMASIA, MIAKA 60 YA MUUNGANO
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk (Mb.) ametaja mafanikio ya Wizara katika kipindi cha miaka 60 ya Muungano wa Tanzania.Mhe. Balozi Mbarouk ametaja mafanikio hayo jijini…
MHE. RAIS SAMIA ATUNUKIWA SHAHADA YA HESHIMA YA UDAKTARI NCHINI UTURUKI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt Samia Suluhu ametunukiwa Shahada ya Heshima ya Udaktari (Honoris Causa) katika Uchumi na Chuo Kikuu cha Ankara cha nchini Uturuki ikiwa ni ishara ya kutambua mchango wake katika kuboresha…
MHE. RAIS SAMIA AWASILI NCHINI UTURUKI KWA ZIARA YA KITAIFA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amewasili katika jijini Ankara, Uturuki leo tarehe 17 Aprili 2024 kuanza ziara yake ya kitaifa ya siku nne inayofanyika kufuatia mwaliko wa Rais wa Jamhuri…
WAZIRI MAKAMBA AKUTANA KWA MAZUNGUMZO NA MWENYEKITI WA UMOJA WA URAFIKI WA WABUNGE WA TANZANIA NA UTURUKI
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. January Makamba amekutana kwa mazungumzo na Mbunge wa Bunge la Uturuki na Mwenyekiti wa Umoja wa Urafiki wa Wabunge wa Tanzania na nchi hiyo, Mhe. Zeki Korkutata.Katika…
WAZIRI WA DENMARK ATEMBELEA HOSPITALI YA CCBRT
Waziri wa Ushirikiano na Maendeleo wa Denmark Mhe. Dan Jorgensen ametembelea Hospitali ya CCBRT ya jijini Dar es salaam na kujionea jinsi hospitali hiyo inavyoendesha shughuli zake kwa Watanzania.Mhe. Jorgensen ametembelea sehemu zinazotoa…
WAZIRI MAKAMBA-AFRICA50 WAJADALI NAMNA YA KUSHIRIKIANA KATIKA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. January Makamba (MP) amefanya mazungumzo na Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Africa50, Bw. Alain Ebobisse, katika ofisi za Wizara, Mtumba jijini Dodoma.Mazungumzo hayo yalijikita…