RAIS SAMIA ATETA NA WANAWAKE VIONGOZI JIJINI JAKARTA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na wanawake viongozi wanaojihusisha na biashara, uwekezaji na utumishi wa umma jijini Jakarta. Akizungumza katika kikao na wanawake hao viongozi,…