RAIS WA MSUMBIJI KUKUTANA NA RAIS SAMIA JIJINI DAR ES SALAAM
Rais wa Jamhuri ya Msumbiji, Mhe. Filipe Jacinto Nyusi atawasili nchini Julai 01, 2024 kwa ziara ya Kitaifa hadi julai 04, 2024 kufuatia mwaliko wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan. Atakapowasili…
BALOZI MBUNDI AONGOZA KIKAO CHA NDANI CHA MAANDALIZI YA MKUTANO WA MAKATIBU WAKUU WA EAC
Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki-anayeshughulikia masuala ya Afrika Mashariki, Balozi Stephen Mbundi ameongoza kikao cha ndani cha maandalizi ya mkutano wa Makatibu Wakuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki…
WIZARA YA MAMBO YA NJE NI KATI YA WIZARA 14 NA TAASISI 60 ZINAZOSHIRIKI MAONESHO YA UTUMISHI WA UMMA
Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imeshauriwa kuangalia uwezekano wa kujenga Kituo cha Kimataifa cha Mikutano jijini Dodoma kufuatia jiji hilo kukua kwa kasi na Serikali kujenga miundombinu ya kisasa, yenye…
’SERIKALI YA KENYA IMEJIFUNZA KUTUMIA TAASISI KAMA NSSF KUFANYA UWEKEZAJI’ - WAZIRI MKUU WA KENYA.
’SERIKALI YA KENYA IMEJIFUNZA KUTUMIA TAASISI KAMA NSSF KUFANYA UWEKEZAJI' - WAZIRI MKUU WA KENYA.SERIKALI ya Tanzania Juni 18 2024 imezindua rasmi ujenzi wa majengo pacha jijini Nairobi, Kenya yatakayotumika na ofisi za Ubalozi…
WAATALAM WA SEKTA YA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOJIA, UTAMADUNI NA MICHEZO KUTOKA NCHI ZA EAC WAKUTANA JIJINI DAR ES SALAAM
Wataalam wa Sekta wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Utamaduni na Michezo kutoka nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) wamekutana leo tarehe 18 Juni 2024 jijini Dar es Salaam katika kikao cha maandalizi ya Mkutano wa Saba wa Baraza…
TANZANIA YAZINDUA MKAKATI WA KUJENGA MAJENGO YA BALOZI ZAKE NA VITEGA UCHUMI KUONGEZA MAPATO NCHINI
Mgeni rasmi ambaye ni Waziri Mkuu na Waziri wa Mambo ya Nje wa Kenya, Mhe. Musalia Mudavadi kwa pamoja na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. January Makamba, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi,…
DKT. MPANGO AMWAKILISHA RAIS SAMIA KWENYE MAZISHI YA KITAIFA YA MAKAMU WA RAIS WA MALAWI
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango amemwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Mazishi ya Kitaifa ya aliyekuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri…