NAIBU WAZIRI MHE. COSATO CHUMI APOKEA NAKALA HATI YA UTAMBULISHO KUTOKA KWA BALOZI MTEULE WA UINGEREZA
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. David Cosato Chumi (Mb.) amepokea nakala ya Hati ya Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Uingereza Mhe Marianne Young katika tukio lililofanyika kwenye Ofisi…