ZIARA YA WAZIRI MKUU WA JAMHURI YA KOREA
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI ZIARA YA WAZIRI MKUU WA JAMHURI YA KOREA Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Korea, Mhe. Lee Nak-yon atafanya ziara ya kikazi nchini kwa mwaliko wa mwenyeji wake, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,…