TANZANIA YASHIRIKI MKUTANO WA KAMATI YA MAWAZIRI WA SHERIA WA SADC
Tanzania imeungana na Nchi nyingine Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) kwenye Mkutano wa Kamati ya Mawaziri wa Sheria na Wanasheria Wakuu wa Serikali uliofanyika leo tarehe 25/01/2022 kwa njia Video. Mkutano…