MKUTANO WA 19 WA MAWAZIRI WA MAMBO YA NJE WA AFRIKA NA NORDIC KUFANYIKA JUNI 22 FINLAND
Hayo yamebainishwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Liberata Mulamula (Mb) wakati alipokutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Finland nchini Mhe. Riitta Swan leo katika Ofisi Ndogo za Wizara Jijini…
TANZANIA, MOROCCO ZAKUBALIANA KUIMARISHA USHIRIKIANO
TANZANIA, MOROCCO ZAKUBALIANA KUIMARISHA USHIRIKIANO Tanzania na Morocco zimekubaliana kuimarisha ushirikiano katika nyanja za biashara na uwekezaji, elimu, utalii, uwezeshaji wa kiuchumi kwa wanawake na vijana. Makubaliano hayo…
HABARI PICHA DIPLOMATIC SHERRY PARTY IKULU JIJINI DAR ES SALAAM
HABARI PICHA DIPLOMATIC SHERRY PARTY IKULU JIJINI DAR ES SALAAM Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan jana aliwaalika Mabalozi wanaoziwakilisha nchi zao hapa nchini pamoja na Wawakilishi wa Mashirika…
TANZANIA YASHIRIKI MKUTANO WA KAMATI YA MAWAZIRI WA SHERIA WA SADC
Tanzania imeungana na Nchi nyingine Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) kwenye Mkutano wa Kamati ya Mawaziri wa Sheria na Wanasheria Wakuu wa Serikali uliofanyika leo tarehe 25/01/2022 kwa njia Video. Mkutano…