News and Events
Joint Statement by the Governments of the People’s Republic of China, The United Republic of Tanzania and the Republic of Zambia On Jointly Building the TAZARA Railway Prosperity Belt
Taarifa ya pamoja kati ya Serikali ya Jamhuri ya Watu wa China, Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Jamhuri ya ZambiaKuhusu makubaliano ya kufanya kazi pamoja kwa Kuboresha na kuendeleza Reli ya Tanzania Zambia (TAZARA) ili Kuimarisha…
MAKAMU WA RAIS AMUWAKILISHA RAIS SAMIA KWENYE HAFLA YA UWEKAJI JIWE LA MSINGI LA UKARABATI MKUBWA WA RELI YA TAZARA.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, leo Novemba 20, 2025 amemuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye hafla ya uwekaji wa Jiwe la Msingi…
MAKAMU WA RAIS ASHIRIKI MKUTANO WA SABA WA WAKUU WA NCHI NA SERIKALI WA UMOJA WA AFRIKA NA UMOJA WA ULAYA JIJINI LUANDA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi ameshiriki katika Mkutano wa Saba wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika na Umoja wa Ulaya uliofunguliwa rasmi Novemba 24, 2025 jijini Luanda,…