TANZANIA YAONESHA NJIA MISSION 300
Tanzania imetajwa kama nchi iliyoonesha njia katika kufikia azma ya kufikisha umeme kwa watu milioni 300 barani Afrika ifikapo mwaka 2030.Hayo yamejiri wakati wa Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu Nishati unaofanyika kwenye…