News and Events
BALOZI SOKOINE AKUTANA NA BALOZI WA INDIA, ALGERIA NA SWEDEN
BALOZI SOKOINE AKUTANA NA BALOZI WA INDIA, ALGERIA NA SWEDEN Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Joseph Sokoine amekutana na kufanya mazungumzo na mabalozi watatu wanaoziwakilisha nchi zao…
HATI TATU ZA MAKUBALIANO ZASAINIWA KUHITIMISHA MKUTANO WA NNE WA TUME YA PAMOJA
Mkutano wa Nne wa Tume ya Pamoja ya Ushirikiano kati ya Tanzania na Kenya umehitimishwa leo tarehe 24 Agosti 2021 kwa kusainiwa Hati tatu za Makubaliano ya ushirikiano kwenye masuala ya Diplomasia na Siasa, Elimu…
BALOZI SOKOINE AONGOZA UJUMBE WA TANZANIA KWENYE MKUTANO WA NNE WA TUME YA USHIRIKIANO
BALOZI SOKOINE AONGOZA UJUMBE WA TANZANIA KWENYE MKUTANO WA NNE WA TUME YA USHIRIKIANO KATI YA TANZANIA NA KENYA ULIOFANYIKA JIJINI NAIROBI KWA NGAZI YA MAKATIBU WAKUU. Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika…
WAZIRI MULAMULA KUONGOZA UJUMBE WA TANZANIA KWENYE MKUTANO WA NNE WA TUME YA PAMOJA YA USHIRIKIANO
WAZIRI MULAMULA KUONGOZA UJUMBE WA TANZANIA KWENYE MKUTANO WA NNE WA TUME YA PAMOJA YA USHIRIKIANO KATI YA TANZANIA NA KENYA Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Liberata Mulamula (Mb) ataongoza ujumbe…
MKUTANO WA NNE WA TUME YA PAMOJA YA USHIRIKIANO KATI YA TANZANIA NA KENYA WAFANYIKA NAIROBI, KENYA.
MKUTANO WA NNE WA TUME YA PAMOJA YA USHIRIKIANO KATI YA TANZANIA NA KENYA WAFANYIKA NAIROBI, KENYA. Mkutano wa Nne wa Tume ya Pamoja ya Ushirikiano kati ya Tanzania na Kenya umeanza kufanyika leo tarehe 19 Agosti 2021 Jijini…