Wafanyakazi wa Wizara ya Mambo ya Nje washiriki maadhimisho ya Mei Mosi jijini Dar es Salaam
Mgeni rasmi kwenye maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi) ambaye ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Paul Makonda (mwenye Tisheti ya bluu) na viongozi wengine akiwemo Mkuu wa Wilaya ya Ilala Mhe. Sophia Mjema…