Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki anayeshughulikia masuala ya Afrika Mashariki, Mhe. Dennis Londo (Mb.) ameeleza kuwa Serikali imejipanga kuzisimamia na kuziwezesha Halmashauri hususan za mipakani kuwa…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mwenyekiti wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC-Organ) Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki Mkutano wa Utatu wa Wakuu wa Nchi…
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki na Mwenyekiti wa Kamati ya Mawaziri wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC- Organ), Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) ameongoza…
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Makatibu Wauu wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), Balozi Dkt. Samwel Shelukindo…
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Catumbela nchini Angola leo tarehe 04 Desemba 2024. Makamu wa Rais anamwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano…
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje anayeshughulikia masuala ya Afrika Mashariki, Mhe. Dennis Londo (Mb.) tarehe 01 Novemba, 2024 ametoa pole kwa familia ya aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Kigamboni na Mkurugenzi Mteule wa Shirika la Afya Duniani…