News and Events
Tanzania na Uganda zaongeza wigo wa ushirikiano wa kiuchumi
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Jamhuri ya Uganda zimekubaliana kuongeza wigo wa ushirikiano wa kimkakati katika sekta muhimu za kiuchumi kwa lengo la kukuza uchumi wa mataifa hayo jirani na rafiki ya Afrika Mashariki pamoja na…
Rais wa Jamhuri ya Uganda, Mhe. Yoweri Kaguta Museveni, amewasili jijini Dar es Salaam, Tanzania, kwa ziara ya kikazi ya siku moja.
Mara baada ya kuwasili, Rais Museveni atafanya mazungumzo ya pande mbili na mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, mazungumzo hayo pamoja na masuala mengine yatalenga kuimarisha uhusiano…
Tanzania Deepens Diplomatic Cooperation with the Holy See
Tanzania Deepens Diplomatic Cooperation with the Holy See on Peace, Dialogue and Social DevelopmentThe United Republic of Tanzania yesterday reaffirmed its long-standing friendship with the Holy See as the Minister for Foreign Affairs…