Skip to main content

Waziri Mkuu wa India awasili nchini

Waziri Mkuu wa India Mhe. Narendra Modi akipunga mkono  kusalimia wananchi waliojitokeza kumlaki mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Mhe. Modi atakuwa nchini kwa ziara ya siku mbili kuanzia…

Semina kuhusu Maendeleo ya Viwanda

Mhe. Kolimba na akijadiliana jambo na Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Dkt. Aziz Mlima wakati wa Ufunguzi wa Semina ya Kimataifa kati ya China na Afrika kuhusu ushirikiano wa kuendeleza…