Benki ya Exim ya China yaahidi Kushirikiana na Serikali katika Sekta ya Viwanda
Benki ya Exim ya China imeahidi kuendelea kuisaidia Serikali ya Awamu ya Tano katika malengo yake ya kuifanya Tanzania kuwa nchi ya viwanda ili viweze kutoa mchango wa kuzalisha asilimia 40 ya ajira hapa nchini. Ahadi hiyo ilitolewa…