BALOZI YAKUBU APOKEA UJUMBE MAALUM WA RAIS SAMIA KUTOKA KWA RAIS WA COMORO
Balozi wa Tanzania nchini Comoro, Mhe. Saidi Yakubu amekutana na kuzungumza na Rais wa Comoro Mheshimiwa Azali Assoumani na kupokea ujumbe maalum wa Mhe.Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kutoka kwa Rais Azali Assoumani alipokutana…