UGANDA YAZINDUA UJENZI WA OFISI YA UBALOZI JIJINI DODOMA
Serikali ya Jamhuri ya Uganda imezindua mradi wa ujenzi wa jengo la Ofisi ya Ubalozi wake ambao utekelezaji wake umeshaanza kufanyika katika mjini wa Serikali Mtumba, jijini Dodoma. Akizungumza kwenye hafla ya uzinduzi wa mradi…