Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki anayeshughulikia masuala ya Afrika Mashariki Mhe. James Millya amemuaga Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Rwanda Mhe. Dkt. Justin Nsengiyumva ka
Balozi Mbundi Akutana na Wanachuo wa NDC Asisitiza Ushirikiano wa Kimataifa, Majadiliano ya Kimkakati na mbinu za pamoja kukabiliana na changamoto za kidunia.Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe.…
MAANDALIZI YA MKUTANO WA WAKUU WA NCHI ZA EAC YAANZA JIJINI ARUSHA
Mkutano Maalumu wa 59 wa Baraza la Mawaziri la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) umeanza katika Makao Makuu ya Jumuiya jijini Arusha, ikiwa ni maandalizi ya Mkutano wa 25 wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya hiyo unaotarajiwa kufanyika…