Wanafunzi NDC watembelea Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki
Wanafunzi wa kozi ya 13 kutoka Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC) na uongozi wa Chuo hicho umetembelea Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki.Ziara hiyo ya mafunzo imelenga kutoa nafasi kwa Wanafunzi hao kujifunza kuhusu…