DKT. MPANGO AWASILI MAREKANI KUSHIRIKI MKUTANO WA 80 Wa BARAZA KUU LA UMOJA WA MATAIFA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango amewasili jijini New York Marekani tarehe 21 Septemba, 2025 kwa ajili ya kushiriki katika mkutano wa 80 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa.Mhe. Dkt. Mpango…
Dkt. Salem Al-Junaibi (Mb) na Ujumbe wake Awasili nchini kwa Ziara ya Kibiashara
Dkt. Salem Al-Junaibi (Mb), Mjumbe wa bodi ya wakurugenzi wa Chama cha Biashara na Viwanda cha Oman akiongoza ujumbe wa Wafanyabiashara kutoka chama cha wafanyabiashara na wenye viwanda cha Oman, amewasili nchini leo, tarehe 7 Septemba…
Singapore na Tanzania zakubaliana kuimarisha ushirikiano wa kiuchumi
Serikali ya Singapore na Tanzania zimekubaliana kuimarisha ushirikiano wa kimaendeleo na kiuchumi kupitia sekta mbalimbali ikiwemo uendeshaji wa bandari, utalii, sekta ya fedha, usafirishaji, biashara na uwekezaji, elimu na kilimo…
Wakuu wa Nchi EAC- SADC wajadili hali ya Usalama Nchini DRC
Wakuu wa Nchi na Serikali wa Nchi Wanachama wa Jamuiya ya Afrika Mashariki (EAC) na Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) wamefanya mkutano wa dharura wa pamoja (EAC-SADC Joint Extra-Ordinary Summit) kwa njia ya mtandao tarehe…
Waziri Kombo afungua mkutano wa 27 wa MCO ya SADC
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Thabit Mhamoud Kombo, amefungua Mkutano wa 27 wa Kamati ya Mawaziri wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) ya Masuala ya Siasa, Ulinzi na Usalama (MCO), katika…