Mhe. Londo Apokea Nakala za Hati za Utambulisho za Balozi Mteule wa Jamhuri ya Tunisia
Tarehe 27 Machi, 2025 Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, anayeshughulikia masuala ya Afrika Mashariki Mhe. Dennis Londo (Mb) amepokea Nakala za Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Jamhuri ya…