MHE. DKT. WILLIAM SAMOEI RUTO AMEWASILI NCHINI KWA ZIARA YA KIKAZI YA SIKU MBILI
Rais wa Jamhuri ya Kenya Mhe. Dkt. William Samoei Ruto amewasili nchini kwa ziara ya kikazi ya Siku mbili. Mhe. Dkt. Ruto ambaye ameambatana na mke wake Mama Rachel Ruto, amepokelewa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika…