MHE. PINDA AZINDUA MISHENI YA UANGALIZI WA UCHAGUZI YA JUMUIYA YA MAENDELEO YA KUSINI MWA AFRIKA (SEOM) JIJINI GABORONE
Mkuu wa Misheni ya Uangalizi wa Uchaguzi ya SADC (SEOM) katika Uchaguzi Mkuu wa Botswana, Mhe. Mizengo Pinda, amezindua misheni hiyo kwa niaba ya Mwenyekiti wa Baraza la SADC la Siasa, Ulinzi na Usalama na Rais wa Jamhuri ya Muungano…