WAZIRI KOMBO AFANYA MAZUNGUMZO NA KATIBU MTENDAJI WA ALMA
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo tarehe 17 Oktoba, 2024 amefanya mazungumzo na Katibu Mtendaji wa Muungano wa Viongozi wa Nchi za Afrika katika kupambana na Malaria (ALMA),…