News and Events

BALOZI MULAMULA AKUTANA NA WAWEKEZAJI KUTOKA SAUDIA ARABIA

Balozi wa Tanzania nchini Saudi Arabia Mhe. Ali Mwadini akiwa nje ya jengo la Wizara katika Mji wa Serikali Mtumba akizungumza na wawekezaji kutoka Kiwanda cha Pioneers Chemical Factory cha nchini Saudi Arabia…

Read More

MKUTANO WA 19 WA MAWAZIRI WA MAMBO YA NJE WA AFRIKA NA NORDIC KUFANYIKA JUNI 22 FINLAND

Hayo yamebainishwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Liberata Mulamula (Mb) wakati alipokutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Finland nchini Mhe. Riitta Swan leo katika Ofisi…

Read More

TANZANIA, MOROCCO ZAKUBALIANA KUIMARISHA USHIRIKIANO

TANZANIA, MOROCCO ZAKUBALIANA KUIMARISHA USHIRIKIANO  Tanzania na Morocco zimekubaliana kuimarisha ushirikiano katika nyanja za biashara na uwekezaji, elimu, utalii, uwezeshaji wa kiuchumi kwa wanawake na vijana.…

Read More

HABARI PICHA DIPLOMATIC SHERRY PARTY IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

HABARI PICHA DIPLOMATIC SHERRY PARTY IKULU JIJINI DAR ES SALAAM  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan jana aliwaalika Mabalozi wanaoziwakilisha nchi zao hapa nchini pamoja na Wawakilishi…

Read More

TANZANIA YASHIRIKI MKUTANO WA KAMATI YA MAWAZIRI WA SHERIA WA SADC

Tanzania imeungana na Nchi nyingine Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) kwenye Mkutano wa Kamati ya Mawaziri wa Sheria na Wanasheria Wakuu wa Serikali uliofanyika leo tarehe 25/01/2022 kwa…

Read More