NJE SPORTS YAICHAPA MIFUGO KWA PENATI 6-5
.Yaifundisha mifugo diplomasia ya michezo . Yatinga nusu fainaliTimu ya Soka ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki (Nje - Sports), yaichapa Timu ya Mifugo kwa penati 6-5 katika mchezo wa nusu fainali ya…