DKT. SAMWEL SHELUKINDO AONGOZA MKUTANO WA DHARURA WA MAKATIBU WAKUU WA SADC ORGAN MJINI UNGUJA, ZANZIBAR
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Makatibu Wauu wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), Balozi Dkt. Samwel Shelukindo…