Waziri Kombo afungua mkutano wa 27 wa MCO ya SADC
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Thabit Mhamoud Kombo, amefungua Mkutano wa 27 wa Kamati ya Mawaziri wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) ya Masuala ya Siasa, Ulinzi na Usalama (MCO), katika…
Mkutano wa 27 wa Kamati ya Mawaziri ya SADC ya Masuala ya Siasa, Ulinzi na Usalama Waanza
Mkutano wa 27 wa Kamati ya Mawaziri wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) ya Masuala ya Siasa, Ulinzi na Usalama (MCO) unaofanyika nchini tarehe 21-25 Julai,2025 umeanza katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius…
Balozi Said Shaib Mussa ampokea Waziri wa Mambo ya Nje wa Cyprus Mhe. Constantinos Kombos
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashaririki Mhe. Balozi Said Shaib Mussa amempokea Waziri wa Mambo ya Nje wa Cyrus Mhe. Constantinos Kombos, katika Uwanja wa Kimataifa wa Julius Nyerere, jijini…
Rais Samia ampongeza Rais wa Comoro, kwa uongozi safi na wenye maono katika kuleta maendeleo ya wananchi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassa amempongeza Rais wa Umoja wa Visiwa vya Comoro, Mhe. Azali Assoumani kwa uongozi safi na wenye maono katika kuleta maendeleo ya wananchi wake.Rais Samia ametoa pongezi…
Balozi Said Shaib Mussa amempokea Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa wa Jamhuri ya Shirikisho la Somalia, Mhe. Abdisalam Abdi Ali
Leo Tarehe 29 Juni, 2025 Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Said Shaib Mussa amempokea Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa wa Jamhuri ya Shirikisho la Somalia,…
WIZARA YA MAMBO YA NJE YASHIRIKI MAONESHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA
Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imeungana na Wizara na Taasisi mbalimbali za serikali kushiriki katika maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yanayofanyika katika Viwanja vya Chinangali jijini Dodoma. Maonesho…
MKUTANO WA UTEKELEZAJI WA MAJUKUMU KWA WAKUU WA IDARA NA VITENGO KATIKA WIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA AFRIKA MASHARIKI 13 -15 JUNI, 2025
Menejimenti ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, ikiongozwa na Katibu Mkuu, Balozi Samweli Shelukindo na Katibu Mkuu, Balozi Stephen Mbundi, wamekusanyika jijini Arusha kutathimini utekelezaji wa majukumu ya…