TANZANIA MWENYEJI WA MKUTANO WA WANAWAKE NA VIJANA KATIKA BIASHARA WA AfCFTA
Tanzania inatarajia kuwa mwenyeji wa Mkutano wa Wanawake na Vijana katika Biashara kwenye Eneo Huru la Biashara Barani Afrika utakaofanyika kuanzia tarehe 12 hadi 14 Septemba, 2022 kwenye Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius…