ZAMBIA YAIHAKIKISHIA TANZANIA USHIRIKIANO KATIKA UONGOZI WA SADC ORGAN TROIKA
Rais wa Jamhuri ya Zambia, Mhe. Hakainde Hichilema ameihakikishia ushirikiano Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakati huu inapotarajia kukabidhiwa jukumu la uenyekiti wa Asasi ya Ushirikiano wa Siasa, Ulinzi na Usalama ya SADC (SADC…