TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Tanzania na Ufaransa ushirikiano wazidi kuimarika Tanzania na Ufaransa zimeahidi kuimarisha ushirikiano wa kimaendeleo; kuongeza uwekezaji na biashara; na kutafuta ufumbuzi wa migogoro inayozikabili nchi za Ukanda wa Maziwa Makuu,…